Sunday, August 10, 2014

KILL MUSIC TOUR YAFUNIKA MBEYA

Izzo B:

Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Mbeya, Izzo B akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa jiji lake la Mbeya waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Local artiste Izzo Biznezz performs in his hometown, Mbeya during the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.Nyomi 5:

Wakazi wa Mbeya wakifurahia Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Mbeya residents in jovial mood as they follow proceedings of the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.


Prof J&Sugu:

Msanii nguli wa muziki wa hiphop  professor J (kulia) akimkaribisha jukwaani msanii mwenzake wa hip hop na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Legendry artiste, Professor J (right) welcomes to stage his fellow hip hop artiste and MP for Mbeya Urban Joseph Mbilinyi aka Sugu during the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.


Rich Mavoko:

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwajibika jukwaani katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa New City Pub, Mbeya. Tamasha hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Renowned artiste Rich Mavoko performs during the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.

Weusi:

Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour Tamasha hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Artistes forming the  Weusi group, Joh Makini, Nikki 2 and G-Nako from Arusha entertain Mbeya residents during the Kili Music Tour Concert held at the weekend. The concert is sponsored by Kilimanjaro Premium Lager.

No comments:

Post a Comment

ROSEMARY LUHAMO KUTOKA DODOMA AKABIDHIWA MAMILIONI YAKE NA UMOJA SPESHO

 Mshindi wa Shindano la Moja Spesho, Rosemary  Luhamo akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa pesa zake kupitia Benki ya CRDB na Kampun...