Sunday, August 10, 2014

mAHINDANO YA WANASAYANSI VIJANA KUFANYIKA JUMATANO

 Mkurugenzi wa chama cha wanasayansi vijana nchini(YST) DK. Kamugisha Gozibert, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya maonyesho ya tafiti za sayansi kwa wanasayansi wachanaga hapa nchini kutoka shule za sekondari
No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...