Mpiga Picha wa ITV aapishw akuwa Kamishna wa Skauti wilaya Temeke

 Kamishna Mkuu Mhe. Abdulkarim Shah (Mbunge wa Mafia na Mwenyekiti wa Wabunge Skauti Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na skauti jijini Dar es salaam
 Peter Rodgers akiveshwa nishani ya ukamishna na kamishna wa mkoa wa Dar es Salaam abubakari mtitu
Peter Rodgers akipokea cheti kutoka kwa Kamisna a skauti mkoa wa Dar es Salaam Abubakari Mtitu mra baada ya kumuapisha kuwa kamishna wa Temeke

Post a Comment

Previous Post Next Post