Sunday, September 21, 2014

NSSF YATOA KADI KWA WANACHAMA 211

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau, akimkabidhi kadi ya uanachama, Pili Matimbwa, mmoja wa wanachama wapya 211, waliojiunga na NSSF Dar es Salaam juzi Kushoto ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, Meneja Kiongozi na Huduma kwa Jamii, Enice Chiume na Meneja uwekezaji, Abdallah Mseli.Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDI

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Ma...