Thursday, October 23, 2014

Ali Kiba agombewa kwenye msiba wa YP, Dimpozi achuniwa na MashabikiNa  Humphrey Shao, Dar es Salaam


MSANII wamuziki wa bongo fleva nayetamba na kibao cha Mwana hivi Sasa Ally Kiba amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kugombewa na watu katika mazishi ya wanamuziki mwenzie Yesaya ambilikile yaliyofanyika makaburi ya chang’ombe
Kiba ambaye lifika makuburini hapo akiwa amecehlewa aliweza kuvamiwa na mmoja wa mdada maharufukama pili misiba kisha akampa buku na kumuachia na baadae wakati amemaliza kuzika kundi la wasichana na vijana wa Temeke ambao walifika kuzika katika eneo hilo

Mbalina Ally kiba msanii Ommy Dimpalifika nae kwa kuchelewa lakini akuweza kupata shangwe za kutosha kama alivyopata Ally kiba mabye kila mtu alitamani apige nae picha na huku wakisisikika wakisema kaza buti kakak achana na yule domo

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...