Monday, October 6, 2014

Cloud luckynes Mokiwa ndani ya filamu mpya ya Muhanga

 wasanii wakipata msosi kabla ya kuanza kazi ndani ya kambi katika ukumbi wa shule ya sekondari ya Filbert bay Kibaha
 Bi mwenda akipakwa Make up na make u artist mpya ndani ya gemu Agnes pembeni ni Producer Lucknes Mokiwa ambaye pia ndio star wa filamu
 Kamera man Kob akiwa na asistant prodution Manager Severine wakati wa kazi
 easter Kiama akifanyiwa make up
 Producer Luckenes Mokiwa akiwa na mwane Junior
 Cloud na ester Kiama ndani ya shot moja kati ya zitakazo onekana ndani ya filamu ambapo ester anacheza kama awala wa cloud ambaye analipwa hili aweze kumzalia mtoto kufuta aibu ya mkewe ambaye ni mgumba
 Cloud akiwa na mkewe luck shoti hiyo wakiwa nyumbani kwa ester kwa ajili yamapatano mumewe atembee na ester hili wapate mtoto
 Easter akiwa mjamzito
Mzee Shaft ambayeni  baba yake na Cloud ndani ya filamu
 Bi mwenda ambaye ni mama yake na Cloud akiwa na mumewe wakati wa recording nyumbani kwao
 Kamera man Kob anatafuta shoti
 Najma amecheza kama mdogo wake Easter
 mzee wa boom mic
 Selemani barafu amabye ni Producton Manager (PM)
 Easter akiveshwa kiatu na mtu wa mavazi ndani ya filamu Mr Kelvin
 Easter Kiama katika pozi
Lucknes Mokiwa akiwa na Cloud 
 wameketi wakimsubiri ester
 after shot
ester akipokewa na watoto wa kibaha na kumuomba kumshika mkono

No comments:

Post a Comment

ROSEMARY LUHAMO KUTOKA DODOMA AKABIDHIWA MAMILIONI YAKE NA UMOJA SPESHO

 Mshindi wa Shindano la Moja Spesho, Rosemary  Luhamo akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa pesa zake kupitia Benki ya CRDB na Kampun...