Thursday, October 23, 2014

Gasper Mchopa kuachia blood after Cristamas soon

 Msanii wa maigizo anaye kuja kwa kasi sana hapa nchini Gasper Mchopa yuko katik ahatua za mwisho kukamilisha filamu yake inayokwenda kwa jina Blood after christmasi , akizungumza na mwandishi wa jicho pevu gasper alisema kuwa filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii maharufu hapa nchini kama Neema Ndepanya, Tx Junior kutoka msondo na Fourty.
 Gasper alisema kuwa wapenzi wa filamu wake mkao wa kula kwani filamu hiyo itatoka mapema kabla ya mwezi januari 2015 hivyo anategema sapoti kubwa kutoka kwa wadau wa filamu hapa nchini
 Msanii wa filamu Gasper Mchopa

No comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...