Jaja mkali wa vichwa ligi kuu bara

 Mshambuliaji wa kimataifa jaja amedhiirisha kuwa ni mshambulaiji ambaye amepiga mipira ya vichwa mingi kuliko washambuliaji wengine wowote hapa nchini  ukitazama moja ya picha ambazo zimepigw aa kamera yetu zinamuonyesha mchezaji huyo alivyoruka kupiga mpira wa kichwa katikati ya mabeki wa Jkt Ruvu






Post a Comment

Previous Post Next Post