NGUMI ZILIVYOPIGWA SIKUKUU YA IDI MKWAKWANI TANGA
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akipangua konde la Emilio Norfat
wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikuku ya Idi katika uwanja
wa mkwakwani Tanga Miyeyusho alishinda kwa point
Bondia Fransic Miyeyusho akioneshwa kuwa ni mshindi baada ya kumdunda Emilio Norfat kwa point
nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya mpambano
Bondia Osgood Kayuni wa Malawi
akipambana na Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa
UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa point
Bondia Osgood Kayuni wa Malawi
akimrushia konde Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa
UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa point
Bondia
Osgood Kayuni wa Malawi akipambana na Allen Kamote wakati wa mpambano
wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo
kwa point |
Bondia Jacob Maganga na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde mpaka mwisho wa mpambano matokeo ni droo
Bondia Thomas Mashali akioneshana
umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika
uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa
T.K.O ya raundi ya tatu Bondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu
Bondia Alibaba Ranmadhani akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomasi mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya sikukuu ya Idi katika uwanja wa mkwakwani Tanga Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu