Friday, December 19, 2014

Waziri Maghembe awaonya watendaji Mamlaka za maji

Na Humphrey Shao, Dar es Salaam

Waziri wa Maji , Profesa Jumanne Maghembe amewaagiza watendaji wote wa mamlaka za maji nchini kuakikisha kuwa wanajenga marambo  ya kuifadhia maji katika kila mji ambapo bomba kubwa la kusafirisha maji kutoka chanzo cha maji linapotoka
.
Waziri Maghembe alisema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua ripoti ya hali ya maji upatikanaji wa maji na amabyoimeandaliwa na Ewura .

Maghembe alisema kuwa tabia ya wananchi kujiunganishaia maji katika bomba kubw ani saw ana upishi wa tambi katika bomba hilo kubwa kuwa na vibomba vidogo vidogo
Maghemebe aliwataka watendaji wote wa mamlaka za maji kufanya kazi kwa bidiii hilikuendana na kasi ya big  result now BRM
No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...