Monday, August 18, 2014

Maonyesho ya bidhaa za kichina kufanyika DimondBrands of China African Showcase 2014
August 21st -24th, 2014
Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam, Tanzania

China and Tanzania are all-weather friends and the two people enjoy a profound traditional friendship. The two countries conduct frequent exchanges at various levels and their cooperation in various fields has delivered fruitful results. In recent years, the bilateral economic and trade cooperation has developed quickly and continues to widen and expand thanks to joint efforts of the governments and enterprises of the two countries. The bilateral trade volume reached USD3.7 billion in 2013, up 49% over the previous year, hitting a new record high.
Tanzania’s development is China’s opportunities while China's development is also Tanzania’s opportunities. In recent years, as China continues to enhance its overall economic strength, technological innovation and corporate development level, China's exports to Africa, including Tanzania, are kept affordable and continue to improve in terms of product variety, quality and service level so as to make positive contributions to meeting the increasing consumer demand of African and Tanzanian people and to guaranteeing their living standards and the local economic and social development.

To further promote the development of the economic and trade relations between China and Africa and between China and Tanzania and to deepen the understanding of China brands in African market, the Brands of China African Showcase (“Showcase”), an annual event in Africa, has been co-hosted by the Ministry of Commerce of the People’s Republic of China and related provincial (municipal) people’s governments since 2012. The 2,600-square-meter 1st Showcase took place together with Dar es Salaam International Trade Fair in the SabaSaba international hall on June 29-July 3, 2012. The 5,000-square-meter 2nd Showcase was held in the Diamond Jubilee Hall in the city center of Dar es Salaam on September 10-13, 2013. The previous two sessions attracted a total of more than 300 exhibitors from China and received 73,643 visitors. The Showcase has achieved the expected results and is highly recognized by the political and business circles in Tanzania.
With a scale of approximately 5,000 square meters, the 3rd Showcase will take place in the Diamond Jubilee Hall in the city center of Dar es Salaam on August 21-24, 2014. The exhibitors mainly come from the industrial bases in China including Fujian, Guangdong, Hebei, Guangxi, Jiangsu, Shandong, Hunan, Shanghai, Chongqing and Zhejiang and will show up in industrial clusters. Regional presence is reflected in the Showcase 2014 to meet the demands of the merchants in different industries. Based on the needs of Tanzanian and its surrounding markets, the Showcase 2014 will be divided into: (1) Machinery and Vehicles, (2) Home Appliances, Electronics and Solar Energy Products, (3) Consumer Goods, (4) Building Materials, Chemical, Medical and Comprehensive Products.
The Showcase 2014 will bring together more than 100 exhibitors from 12 provinces and municipalities in China, including those of the World Top 500 or well-known enterprises such as Guangdong Lesso Technology Industrial Co., Ltd., Jiangsu High Hope Group, Shenzhen Yingli New Energy Resources Co., Ltd., Nanjing Automobile Import & Export Co., Ltd., Shanghai Warrior Shoes Co., Ltd. and Shanghai Huayi (Group) Company.
We believe that the Brands of China African Showcase will become one of the important platforms for economic and trade exchange and cooperation between China and Africa and between China and Tanzania to help achieve mutual benefits and all-win in China, Tanzania and African countries and promote new progress of the newly strategic partnership between China and Africa under the great support of the governments of China and Tanzania and all circles.
We warmly welcome our Tanzanian friends to attend, network and purchase in Brands of China African Showcase 2014.
Address: Aga Khan Diamond Jubilee Hall P.O.Box 7750, Malik Road, Upanga West, Dar es Salaam, Tanzania.
Contact:
China Foreign Trade Guangzhou Exhibition General Corp.
Name: Tracy Chian\ Spring Song
 (working language: English and Chinese)
Telephone: +86-20-89128132
Fax: +86-20-89728222
Email: jianjm@fairwindow.com.cn

Sunday, August 17, 2014

FIFA YA AMURU OFISI ZA TFF ZILEJESHWE KARUME

TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali.Uendelezaji wa eneo utafanyika wakati ofisi zikiwa hapo hapo, na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) litasaidia katika uendelezaji huo utakaofanyika kwa awamu.Vilevile FIFA imeahidi kusaidia uboreshaji wa ofisi za Uwanja wa Karume ili ziwe katika mazingira bora zaidi ya kufanyika kazi.Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF.Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe huo wa FIFA uliokuwa na maofisa sita, Zelkifli Ngoufonja (Pichanani)amesema wamepitia maeneo mbalimbali ya uendeshaji wa TFF na mpira wa miguu kwa ujumla na kukubaliana kufanya uboreshaji kwa lengo la kuongeza ufanisi.Ngoufonja ambaye ni Meneja Mwandamizi wa FIFA anayeshughulikia Programu za Maendeleo Afrika amesema kabla walikutana na wadau mbalimbali ikiwemo Serikali kwa lengo la kuangalia jinsi watakavyochangia katika uendelezaji mpira wa miguu nchini.Amesema wamekubaliana na TFF katika mpango wa utekelezaji (Action Plan) na maazimio waliyokubaliana ikiwemo na muda wa utekelezaji wake, hivyo FIFA watafuatilia na kutoa msaada ili kuhakikisha utekelezaji unafanyika kama ilivyopangwa.Maeneo yaliyofanyiwa kazi ni utawala bora (Governance), Maendeleo ya Ufundi (Technical Development), timu za Taifa (National teams), Mashindano na Vitendea Kazi (Competitions and Facilities), na Utawala na Uongozi (Administration and Management).Maofisa wengine wa FIFA waliofuatana na Ngoufonja ambaye ni raia wa Cameroon ni Meneja wa Programu za Ustawi (Performance), Marco Schuepp, Ofisa Maendeleo, Ashford Mamelodi, Ofisa Maendeleo wa Ufundi, Govinden Thondoo, Mkufunzi wa Makocha, John Peacock na Mshauri wa Programu za Ustawi, Ian Riley.MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza kwa siku kumi muda wa kumalizika usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL)  kutokana na kuchelewa kwa link ya mfumo mpya wa usajili (system) kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).Kwa mujibu wa CAF, link hiyo itakuwa tayari kwa matumizi ndani ya siku tatu zijazo kutokana sasa. Hivyo, mameneja wa usajili wa timu hizo kwa sasa wanatakiwa kukamilisha nyaraka zote zinazotakiwa ili link hiyo itakapokuwa tayari waweze kuingiza usajili wao mara moja.Kuanzia msimu wa 2014/2015 mfumo unaotumika kwa usajili kwa klabu hizo ni wa elektroniki badala ya ule wa zamani wa kutumia fomu za kawaida. Mfumo huo wa kisasa ambao pia unatumiwa na CAF unaondoa upungufu uliokuwepo katika mfumo wa zamani.Kutokana na mabadiliko hayo, usajili sasa utamalizika Agosti 27 mwaka huu badala ya leo (Agosti 17 mwaka huu). Kipindi cha pingamizi ni kuanzia Agosti 28 mwaka huu hadi Septemba 3 mwaka huu.Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji itakutana kati ya Septemba 6 na 8 mwaka huu kwa ajili ya kupitia pingamizi na kuthibitisha usajili.Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inayoshirikisha timu 14 itaanza Septemba 20 mwaka huu wakati ratiba inatarajia kutoka mwezi mmoja kabla ya kuanza ligi hiyo. Ligi Daraja la Kwanza inatarajia kuanza wiki ya kwanza ya Oktoba.Mwisho wa kuombewa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) kwa wachezaji wanatoka nje ya Tanzania ni Septemba 6 mwaka huu.


NMB yakabidhi vifaa kwa timu za jeshi la Tanzania zinazo shiriki mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika Mashariki

  afisa wa NMB Gerald Kamugisha akiongea na wana habari
 Brigedia General Narsis Lubamba kaimu mkuu utendaji Kivita na mafaunzo ya jeshi la Tanzania, akipokea Jezi kutoka kwa afisa wa NMB Gerald Kamugisha
  Brigedia General Narsis Lubamba kaimu mkuu utendaji Kivita na mafaunzo ya jeshi la Tanzania, akipokea Jezi kutoka kwa afisa wa NMB Gerald Kamugisha
  Brigedia General Narsis Lubamba kaimu mkuu utendaji Kivita na mafaunzo ya jeshi la Tanzania, akipokea Jezi kutoka kwa afisa wa NMB Gerald Kamugisha
  Brigedia General Narsis Lubamba kaimu mkuu utendaji Kivita na mafaunzo ya jeshi la Tanzania, akipokea Jezi kutoka kwa afisa wa NMB Gerald Kamugisha

 Brigedia General Narsis Lubamba kaimu mkuu utendaji Kivita na mafaunzo ya jeshi la Tanzania akizungumza na waandishi wa habari

BANDARI TANGA KUHUDUMIA SHEHENA YA NCHI SABA KWA KUTUMIA MPAKA MMOJA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Bandari ya Tanga inaelezwa kuwa bandari ya kipekee na ya aina yake barani Afrika inayoweza kuhudu...