Thursday, September 4, 2014

Prof Makame Mbarawa azindua mkutano wa madaktari na wataalamu wa mawasiliano bagamoyoWaziri wa Mawasiliano  Sayansi na teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akizungumza  na Madaktari bingwa na wataalamu wa mawasiliano wakati wa uzinduzi wa mkutano wa siku mbili juu ya Tiba kwa njia ya mtandao uliofanyika wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, pembeni ni Dk. Amos Nungu  mku wa kitengo cha mawasiliano DIT  na mkurugenzi mkuu  Mfuko wa Mawasiliano kwa Umma, Piter Ulanga. Picha na Humphrey Shao.

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA DUNIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemkabidhi bendera ya t...