Emmanuel Okwi atamba kuwa Yanga awamuwezi



Emmanuel Okwi
Mshambuliji wa kimatifa wa Simba,anasema bao pekee alilowafunga watani wao wa jadi Yanga, mwishoni mwa wiki iliyopita ni ishara ya kuwaonyesha Yanga kuwa hawamuwezi kwa kila kitu  kitakachohusiana na masuala ya mpira.
Okwi alisema kitu pekee kinachomsaidia kluwazidi akili Yanga ni ujanja na kutoogopa vitisho vyao ambayo havina maana katika maisha ya kisoka kwenye ulimwengu wa sasa, kwani wanatakiwa kufanya mambo kwa vitendo na  si maneno kama walivyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post