Tuesday, March 10, 2015

Flora mbasha atinga mahakamani na kutoa ushahidi kwa saa 4 kwenye kesi ya ubakaji nayomkabili mumewe

 Flora Mbasha akipelekwa mahakamani na Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya mwanzo ya wilaya ya Ilala
 Flora mbsha akiongea na Simu mara baadaya kutoka mahakamani  akisindikizwa na mdogo wake Dorice
 Ndugu wa Flora mbasha wakiwa nje ya mahakama wakijadili juu mambo yanavyoendelea mahakamani
Flora mbsha kaitoka mahakamni kwa furaha mara bada ya kumaliza kutoa ushaidi

No comments:

Post a Comment

DC KIGAMBONI AZINDUA MPANGO WA DARMAERT NA VIFAA VYA MAWASILIANO WAKATI WA DHARULA NA MAAFA

 Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa  akizungumza kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda wakati wa uzinduzi wa Mpango wa DarMae...