Sunday, March 8, 2015

Ivo Mapunda atundika taulo la Yesu gorini katika mchezo wa Simba na Yanga


Ivo Mapunda atundika taulo la Yesu gorini katika mchezo wa Simba na Yanga


Na Humphrey Shao, Dar es Salaam


Golkipa namba moja wa Simba Ivo mapunda amejikuta akiingia katika mgogoro na refarii wa mchezo wa Simba na Yanga Martin Sanya mara baada ya kutundika taulo lilikuwa na maneno ya kumtukuza Yesu Kristo katika lango alilokuwa anadakia .

Ivo alijikuta akiingia katika mgogoro huo uliodumu kw adaika zaidi ya tano ambapo Sanya alimtka aondoe taulo hilo ambalo lilikuwa likosomeka “Protecte me Jesus  -wafilipi 4-31” likisimamia moja ya mstari katika biblia.

Mara baada ya mabishani yaliyodumu kwa zaidi ya daika tano Sanya aliamua kwenda kutoa taulo hilo na kuliweka pembeni kidogo lakini Ivo aliendelea kulitumia kama sehemu ya kujifutia jasho.

 


No comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...