Sunday, March 8, 2015

Kaburu aongoza Mashabiki wa Simba kumtafuta Jeny Muro Yanga badala ya Jery Muro


 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Makamu Mwenyekiti wa Kalbu ya Simba Godfrey Nyange Kaburu ameungana na mashabiki wa timu ya Simba kumkebei mkurugenzi wa habari wa klabu ya Yanga Jery Muro kwa kumwita Jeny Muro mara baada ya kufanikiwa kuwafunga bao moja kwa sifuri.

kebehi ambayo alianza mmoja wa jumbe wa klabu ya Simba Iddi kajuna kwa kusema kuwa ni vyema Jeny muro akajitokeaza na kuongea sasa kuliko alivyokuw anachonga hapo awali

huku mashabiki wengine wakiwjibizana katika mitandao ya kijamii kwa kumwita jeny muro ama kweli hapa ndio utani wa simba na yanga


No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...