Sunday, March 8, 2015

Kocha yanga agoma kumpa mkono kocha wa Simba mara baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0

 Kocha wa Simba ,Goran Kopunovic akijaribu kumpa mkono kocha wa Yanga , Hans Van Plujinkisha kuishia kuutazama

Kocha yanga agoma kumpa mkono kocha wa Simba mara baada ya mchezo


Na Humphrey Shao, Dar es Salaam


 


Kocha wa Yanga Hans Van Plujin amejikuta katika waktyi mgumu mara baada ya kushindwa kumpa mkono kocha wa Simba, Goran Kopunovic, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambao yanga aliliakubali kichapo cha bao moja.


Katika hali isiyokuwa ya kawaida kocha huyo ambaye alionyehsa kuwa ataki kupeana mikono na kocha mwenzie kama ishara ya fair playa huku kocha msaidizi wa timu hiyo Boniface mkwasa akitoa mkono huku ameangali pembeni jambo ambalo lilitoa tafsiri ya tofauti kwa kocha huyo


 


Hata hivyo kocha huyo akutaka kuzungumziza lolote juu ya kitendo hicho na kusema kuw ayeye anfuraha kwakuwa amepata ushindi katika mchezo huo mgumu kwake ambao umewezesha timu yake kuwa na point 26 na kuwa naimani anaweza kuongoza ligi


Mkwasa akipkoea kwa shingo upande

No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...