Thursday, March 26, 2015

Manaibu waziri wa Viwanda kutoka Afrika Kusini na Tanzania wakutana kujadili maendeleo ya Viwanda

Naibu Waziri wa  Viwanda Vidogo kutoka nchini Afrika Kusini Elizabeth Thabet akizungumza na wadau waliofika katika mkutano huo
Naibu Waziri wa  Viwanda Vidogo kutoka nchini Afrika Kusini Elizabeth Thabet akizungumza na wadau waliofika katika mkutano huo
watu waliofika katika mkutano huo
Naibu Waziri wa  Viwanda Vidogo kutoka nchini Afrika Kusini Elizabeth Thabet akifurahi jambo na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene mara baada ya kumaliza kuzungumza
Balozi wa Afrika kusini nchiniNaibu waziri wa Viwanda na Biashara Janent Mbene akiwa na msaidizi wake Magdalena Hall wakifurahi jambo na wadu wa viwanda wengine waliofika katika mkutano huo
Naibu Waziri wa  Viwanda Vidogo kutoka nchini Afrika Kusini Elizabeth Thabet na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara nchini wakitoka nje ya ukumbi wa Golden Tulip Dar es Salaam
Bahadhi ya wadau waliofika katika mkutano huo wakifatilia kwa makini ndani ya ukumbi wa Golden Tulip

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...