Tuesday, March 10, 2015

MBASHA MKE WANGU ATAKI SULUHU NA MIMI

 Mume wa Mwanamuziki wa injili nchini Flora mbasha Emanuel Mbasha  ameweka wazi kuwa mkewe ataki suluhu juu ya tatizo la kutolewana nadni ya ndoa yao licha ya kupatikana wasulishi wengi  kutaka kutatua tatizo hilo.

Mbasha alitoa kauli hiyo nje ya mahakama ya mwanzo yakariakoo ambapo alikwenda kusikiliz aushahidi juu ya kesi ya ubakaji iyomkabili katika mahakama hiyo

"mke wangu ana roho mbaya sana lakini cha ajabu ni kuwa kila tunapoitw akupatanishwa yeye ataki kiasi cha kusema kuwa nitakiona hivyo mimi namuachia mungu juu ya jambo hili kwani lilipofika hapa ni pabaya sana kwangu  kwakuwa mahakama inaweza kuamu chochote juu yangu"alisema mbasha

Add caption

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...