Sunday, March 8, 2015

Okwi aiongoza Simba kuinyoa Yanga Taifa

 Imanuel Okwi akishangilia mara baada ya kupata  bao
 Emanuel Okwi akionyesha kuwa ni moja tu latosha
 Wachezaji wa Simba wakishangilia mara baada ya owki kupata goli
 okwi akishangilia
 Kit Manger wa klabu ya simba akiwa mwenye furaha
 Mashabiki wa Yanga wakiwa wenye uzuni mara baada ya kufungwa
 Kocha wa simba Goran Kopunovic rai wa Serbia akishangilia mara baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya yanga ambapo simba ilitoka kifua mbele kwa bao moja ambali lifungwa na Emanuel Okwi
 Mashabikiwa Yanga wakiwana imani na Cannavaro
 Makamu mwenyekitii wa Simba Godfrey Nyange Kaburu akishangilia mara baada ya ushindi
 Ivo mapunda baada ya ushindi
 mashabiki wa Simba
Kocha simba akiteta na Emanuel okwi mara baada ya kumalizika kwa mchezo

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...