Monday, March 23, 2015

Paul Ndunguru apagawisha Watanzania Tamasha la Peke Dar es Salaam huku mvua zikinyesha

 Wasanii wa kundi la Dar Creator wakifanya shoo yao wakati wa Tamasha la PEKE Tembo aliyebakia


 Mcharaji mahiri nchini Gadi Ramadhani akitazama bahadhi ya michoro inayomtetea Peke
 mmoja ya watu waliofika katika Tamsha hilo kumtazama PEKE Akiangalia michoro
 Msanii mbunifu wa PEKE Kutoka kundi la Wahapahapa, Paul Ndunguru akitoa burudani akiwa na bendi yake Wadau Anord Kayanda na Tcheche Mtungi wakijadili mambo
Bahadhi ya wapiga picha nawadau wakifatilia Tamasha
watu wakicheza mziki licha ya mvua kunyesha kwa wingi katika viwanja hivyo vya mnazi mmoja

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...