Sunday, March 8, 2015

Simba ililoga kwa mpira mmoja na kupata goli moja dhidi ya Yanga?
Na Humphrey Shao, Dar es Salaam


Katika hali isiyokuwa ya kwaida mmoja wa watunza vifaa wa klabu ya Simba ambaye anaonekana pichanai alitumia mpira mmoja kwa ajili ya kuomba dua kabla ya mchezo wake dhidi ya yanga na ndivyo ilivyotokea kwa mchezaji wa Simba Emmanuel Okwi kupata bao pekee ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo. Simba ililoga kwa mpira mmoja na kupata goli moja dhidi ya Yanga?


 


 


Jamaa huyo ambaye alionekana akidundisha mpira mmoja kasha kuingiza kwenye mfuko na kuutoa kasha kudundisha tena kwenye mfuko na kudundisha dunsha jambo  ambalo lilitafsiriwa kuwa ushirikina na bahadhi ya mashabiki waliokuwa jukwaani


Mtoto wa Temeke sikuw anyuma katika tukio hilo na nilifanikiwa kulinasa kasha kukuletea wewe shabiki yangu namba moja upate kujionea nini kiliendelea. 


No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...