Monday, March 30, 2015

Zitto awapagawisha wanachama wa ACT Uzalendo.Wanachama wa chama  cha ACT wakiwa wamembeba Kiongozi Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe baada ya kuchaguliwa jijini Dar es Salaam juzi.Picha na Silvan KiwaleKiongozi Mkuu wa chama cha ACT Zitto Kabwe akicheza na wanachama wa chama hicho wakati wa uchaguzi uliofanyika juzi.Picha na Silvan KiwaleWanachama wakiwa katika mkutano wa uchaguzi huoWanachama wa chama  cha ACT wakiwa wamembeba Mwenyekiti  wa chama hicho baada ya kuchaguliwa jijini Dar es Salaam juzi.Picha na Silvan Kiwale

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...