Zitto Kabwe atimuliwa rasmi Chadema

 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam

MWANASHERIA mkuu wa chama cha  maendeleo (CHADEMA), Tundu Lisu ametangaz akumfukuza uancahma aliyekuw akatibu wa chma hicho Zito Kabwe mara baada ya mahakama kutuplia mbali pingamizi lake la kutaqka swala lake la unachama lisijadiliwe na ngazi ya uongozi ya Chadema.

Lisu amesema hayo mara baad aya kutoka mahakamnai na kuzungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam leo


Post a Comment

Previous Post Next Post