Wednesday, April 8, 2015

Magwiji wa FC Barcelona wawasili Tanzania na kutembelea vivutio vya kitalii

 Simao Sabrosa mchezaji wa zamani wa klabu ya
Barceona akiwa katika eneo la mapumziko katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Kilimanjaro.


 Mchezaji Patrick Kluivert akizingumza kwa
simu muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Kilimanjaro KIA jana usiku .

 Meneja maendeleo wa KiboPalace Hotel
,Charity Githinji akiteta jambo na wachezaji wa zamani wa klabu ya
Barcelona walioanza kuwasili nchini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki
dhidi ya wachezaji wa zamani wa Tanzania.


 Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona
Patrick Kluivert akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa
muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Kilimanjaro (KIANo comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...