Na Humphrey
Shao, Dar es Salaam
MSANII wa
muziki wa kughani, Mrisho Mpoto amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete awaeleze viongozi mbalimbali nchini wanaotaka nafasi za uongozi kujitokeza
kusoma kozi ya uongozi na maadili hili kupunguza tatizo la viongozo wanokosa
uzalendo nchini.
Mpoto alitoa
kauli hiyo katika shairi lake aliloghani mbele ya Rais kw akumtukuza kwa namna
jinsi gani Rais Kikwete alivyoweza upambana na matatizo mbalimbali ya kiuchumi
na kijamii katika taifa hili.
Mpoto
alisema kuwa anamuomba rais akawaimbie hao wanaotaka madaraka kuwa ni vyema
wakaenda kusoma maadili nauzlendo kwanza kwani asipowambia watafanya ndivyo
sivyo katika utawala watakaoupata.
“Nenada
kaambie walewanaotaka madaraka kuwa
lazima wapiti hapa kwanza ndio wafikirie uongozi kwani usipo waambia
urtakuwa umetuumiza sie ambao tutaongozwa “alisema mpoto
Mpoto ambaye
aliweza kumfurahuisha rais Kikwete kwa kila ubeti amabao alikuwa na ghani kwa
jinsi alivyoweza kueleza namna ya Kibweta cha Mwalimu Nyerere kitakavyofanya
kazi na kutoa msada kwa vijana wa sasa ambao wamekosa uzalendo.
Rais Kikwete akifurahi huku akipita hotuba yake wakati mpoto anatumbuiza
Rais Jakaya Kikwete akiwa mwenye furaha kubwa mara baada ya kusikiliza mashari ya Mrsiho Mpoto
Rais Kikwete akitafakari manenoya mpoto huku akipitia hotuba yake kwa umakini wa hali ya juu