Friday, April 10, 2015

Serikali yakubali yaishe kwa Mgomo wa madereva uliodumu kwa masaa saba Madareva

 Katibu mkuu wa wizara ya uchukuzi akiwasili ubungo
 Katibu mkuu Wizara ya Uchukuzi akisalimiana na DC wa kinondoni Paul Makonda
 Waziri wa kazi Vijana na na ajira Gaudencia Kabaka akiwasili  Ubungo Akiwa ameambatana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiq
 Kiongozi wa madereva akiwatuliza
 Katibu wa umoja wa vyma vya madereva akizungumz an amadereva
 Kamishna kanda maalumu ya Dar es Salaam Suleimana Kova akiongea na Madereva
 Mkuu wa mkoa Said Meck Sadiq akiongea na maderava hao
 Waziri wa kazi ajira Gaudencia Kabaka akiongea na maderava hao na kufikia mazimio ya kusitisha mgomo huo kwa kufuta agizo la kwenda kusoma mara baada ya miaka mitatu
 madereva wakisukuma gari ya kamisna Kova
 Kamishna Kova akiwaaga Mdereva hao wa ubungo
 Mabasi yakiondoka kwa shangwe

No comments:

Post a Comment

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA MNMA

Na Humphrey Shao, Globu Ya jamii Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano kuhusu Maende...