Thursday, April 16, 2015

S.H AMON , MAMA RWAKATALE WAFIKISHW AMAHAKAMANI KWA UKWEPAJI KODI YA MAJENGOWIZARA ya Ardhi  Nyumba na Maendeleo ya makazi imewafikisha mahakamani mashauri 120 ya ukwepaji kodi wa ardhi wakiwemo na bahadhi ya vigogo na wafanyabiashara wakubwa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam janaMwenyekiti wa mahakama hiyo kanda ya Ilala Yose Mlyambha alikiri kupokea mashtaka hayo kutoka kwa kamishna wa ardhi kwa hati ya dharura ambayo inawap nguvu ya kuwashitaki bila yakuw ana utetezi.
Wakati akiendesha mashtaka hayo mwenyekiti huyo aliwataja bahadhi ya wastakiwa ambao walitakiw akatika kesi hiyo ni , S.H. Amon enterprises, Murzah Company, St Mary Internationa Academy  na wengine.

“Yapo majina ya vigogona tasisi kubwa tu za dini na mashirika yasiyo ya kiserikalia mbayo  yamo katika orodha ya watu wanaostakiwa na Kamishna wa ardhi hivyo wakati ukifika nitawataja hila hao wengine mmewaona wenyewe walipokuja kusikiliza ushahidi wao”alisema Mlyambha.

ambao atawataja pindi watakapo pandishw akizimbani.

Mlyambha alisema kuwa kamishna amewafikishakatika mahakama hiyo kwa ajili ya kulinda na kutetea masalhi ya wanyonge kwa kuwa kwa mujibu wa sheria ni kosa kwa mtu yoyote kukwepa kulipa kodi ya aina yoyote ile alipaswa kulipa.

Alisema ukusanywaji wa kodi ndio msingi mkubwa wamaendeleo ya nchi hivyo kila mmoja anapswa kuwa makini na jambo hili kwani watu wengi wamekuwa wa kikwepa ulipaji wa kodi ya majengo na kuona aina msingi kiasi mtu anafikia kuadaiwa mpaka milioni 38.No comments:

Post a Comment

MWAKIBINGA AONGOZA WAISLAMU KAWE KUPELEKA KILIO CHAO KWA RAIS MAGUFULI

 Mwanaharakati na Mzawa Kawe James Mwakibinga akizungumza na wakazi wa Kawe wakati walipokuwa wakitoa ombi lao kwa Rais Magufuli kupitia ...