Friday, June 19, 2015

Hassanali arudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ilala kupitia CHADEMAMmoj wa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Muslim Hassanali, ambaye ametangaza nia ya ya kugombea ubunge jimbo la Ilala kupitia cha hicho akirudisha fomu kwa Kasinir Mabina ambaye ni mratibu wa CHADEMA Kanda ya PwaniNo comments:

Post a Comment

DC SINYAMULE ; AMEWATAKA VIJANA KUWA WAZALENDO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule  amewataka Vijana kuwa wazalendo hili kuweza kuyaenzi ...