Thursday, June 4, 2015

Kesi ya Gwajima yapigwa Kalenda mpka julai

 Askofu Gwajima akitoka katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana mara baad ay kumaliza kusikiliza shauri lake ambapo kesi yake imearishwa mpaka julai mbili.

Gwajima amefikishwa mahakani kwa kashfa ya kumtukana Askofu wa kanisa katoliki Polycap Kadinali Pengo .

Kesi hiyo ambayo inasikilizwa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Riwa itasikilizwa tena julai mbili mara baada ya upande wa Mashtaka kusema kuwa imekamilisha upelelezi wake juu ya kesi hiyo


No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...