Friday, June 19, 2015

Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais na Makongoro arudisha fomu


Waziri wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe akionyesha
fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais makao makuu Dodoma


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akimkabidhi Waziri wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais makao makuu Dodoma

Mbunge wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere (kulia) akirudisha fomu kwa Naibu Katibu Mkuu wa chma hicho (Bara), Rajab Luhwavi,za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais baada ya kupata wadhamini mikoa 15

No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...