Tuesday, July 7, 2015

HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI YASAINI MKATABA


 HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI YASAINI MKATABA
Manispaa ya Kinondoni imesaini mkataba wa mashirikiano ya kusaidiana na jiji la Humburg ,mkataba huo umesainiwa leo na Mstahiki Meya akiwepo na Mkurugenzi Eng.Mussa Natty,Utajengwa mtambo wa kuchakata taka za ugani na kuzalishwa mbolea Mabwepande wenye thamani ya shilingi za kitanzania ni bilioni 3.5 ambazo zitatolewa na jiji la Humburg .Akiongea Mstahiki Meya alisema ukishajengwa mtambo huu Kinondoni itakuwa safi,pia zitatengenezwa ajira 1000 pamoja na hilo mbolea itatumika kwa faida ya kilimo.Hongera Manispaaa ya Kinondoni,angalia picha za kasaini mkataba huo.

No comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...