Thursday, July 9, 2015

MEYA MANISPAA YA KINONDONI YSUFU MWENDA AAGA KWA KUFUTURISHA

 Wakazi wa kinondoni wakisubiri futari
Kamati ya maandalizi ikijadili jambo 
 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda, akiwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salim wakati wa futari iliyoandaliwa na Manispaa hiyo juzi.

 Meya wa Manispaa ya kinondoni akihutubia wakazi wa kinondoni walifika kufturu Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salim akitoa mawaidha kwa wakazi wa kinondoni
 Meya akikabidhi Zawadi kwa wageni waalikwa

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...