Sunday, July 12, 2015

Polisi wa uwawa stakishari

Ikiwa zimepita miezi kadhaa Mara baada ya kituo cha polisi Mkuranga kuvamiwa hali hiyo imeibuka tena jijini Dar es salaam katika kituo cha polisi kilichopo ukongavstaki Shari.                                              
Kwa mujibu wa ripoti zilizotufikia asubuhibhii zinaeleza kuwa majambazi hao walivamia kituovhicho Na kuanza kushambulia kwa risasi askari waliopo katika kituo hicho .

Mara baada ya majibizano ya risasi walifanikiwa kuua askari wanne Na kuingia katika chumba cha silaha na kuchukua SMG 15.

Inaelezwa kuwa mbali ya askari hao kuuwawa pia raia watatu na jambazi mmoja warifariki papohapo

Tutaendendelea kujuhuza kinachotokea

No comments:

Post a Comment

Dk 30 ZA ASLAY ALIVYOWALIZA WATU ESCAPE ONE

Na Humphrey Shao , Globu ya Jamii Ilikuwa siku ya feb 17 ambapo Msanii wa Muziki wa BONGO Fleva Aslay Isihaka alivyoweza kubadilisha H...