Saturday, July 11, 2015

Wananchi wafunga Barabra na kuchoma kituo cha polisi


Askari Polisi na Kikosi cha Zima moto wakitoka katika kituo cha Polisi cha Bunju "A" kilichoteketea kwa moto kilichopo nje ya jiji Dar es Salaam jana. Tukio hilo lilitokea baada ya Gari aina ya Coaster kuwagonga wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Bunju "A" na mmoja wao kufariki Dunia.
 
 kituo hicho kikionekana kw anje mara baada y kuungua
 gari iliyo aribiwa viba ya na wananchi
 askari wakiwa katika doria

No comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...