Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene atembelea Kiwanda cha nguo cha Mazava Kilichopo Morogoro

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akiwasili katika kiwanda cha Mazava na kupokelewa na uonngozi wa kiwanda hicho
 Msaidizi wa Waziri Magdalena Hall akisalimiana na mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho kutoka Madagascar
 Janet Mbene akiangalia namna uzalishaji unavyokwenda Mazava

 Janet Mbene akipata Maelekezo namna kazi zinavyofanyika
 Janet Mbene akiangalia mzigo ambao upo tayari kwa ajili ya kupelekwa Amerika

Naibu waziri akikagua moja ya barabara mbovu za kuingia katika mtaa wa viwanda karibu na kiwanda cha Mazava Morogoro

Post a Comment

Previous Post Next Post