JWAZIRI JAFO AFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU NA MADARJA YALIYOBOMOKA MANISPAA YA ILALA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amesema  wizara yake kupitia wakala wa Barabara wa Serikal...