Saturday, April 11, 2015

Mtoto Irene aliyefariki KIbamba mwaka jana aletwa akiwa hai na mganga kutoka Dodoma

 Mtoto Irene baada ya kufufuliwana mganga huyo
 mtoto Irene enzi za uhai wake kabla ya kufa


 watu wakiwa wengi wakitoa fedha na kumshangaa mtoto huyo

 Mganga aliyemfufua mtoto huyo kushoto aliyevaa flana ya kijani na mapete mkononi huku mama mzazi wa mto huyo akiwa amemshikilia mtoto Irene


Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
MGANGA wa Jadi aliyejitambulisha kwa jina la, Juma Mohamed (Bino) Amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo la Kibamba Mloganzila mara baada ya Kudai kuwa ameweza kumrejesha mtoto wa Mwaka mmoja na nusu aliyefariki mwaka jana na kuzikwa katika makaburi ya mloganzila pamoja na dada mmoja aliyefariki mkoani njombe mwaka jana.
Akizungumza na gaezti hili Juma Mohamed alisema kuwa mwishoni mwa mwaka jana wazazi wa mtoto huyo waliweza kumpigia simukuwa awana imani kuwa binti yao amefariki kifo cha kawaida hivyo wakata awapigie ramli kujua kama yupo ama amefariki ndipo alipwaambiwa kuwa mtoto wenu akufariki bali mlizika mbwa .
“mara baada ya kuwa mbia hivyo nikawambia wanitumie shilingi 50,000 wakatuma ndipo nilipanza kazi yao nilipoona inamafanikio nikawambia wanitumie tena shilingi 300,000 ndipo baadae nikawambia wapande gari kwa ajili yakuja kumalizia kazi lakini lazima waje na shilingi laki moja ya kumalizia kazi ndipo wakafanya hivyo nakufika kwa ajili ya kuweza kumuona mtoto wao”alisema Bino
Alisema kuwa wakati wa kuanza kazi hiyo niliwaagiza waje na wazazi wao ndipo wakafanya hivyo na tukaanza kazi ya kumvuta mtoto huko aliko kwa kutumia jina lake la Irene na la mama yake hili nyota ziweze kuendena kazi ifanikiwe.
Muda mchache tu ndipo nikafanikwa kumrejesha mtoto huyo ambaye alionekana kuwa yupo katika hali mbaya ya kiafya na kuwaomba nikae nae kwa miezi miwilina nusu kwa jili ya tiba zingine za kumuweka sawa kumtoa katika undondocha nakuwa katika hali ya kawaida.
Baba asimulia
Akisimulia tukio hilo baba mzazi wa mtoto Irene anasema kuwa na huakika kabisa huyo ndio mtoto wake kwani tangu siku yakuaga maiti alikuwa ana imani na yule marehemu aliyekuwa kwenye jeneza kwa kuona sura ikiwa na kovu la kimasai wakati mwanwe akuwa hivyo.
Alisema kuwa mtoto wake ambaye alifariki mwezi wa nane mwaka jana kw akifi cha ghafla ni huyo ambaye mganga huyo aliweza kumleta mnamomiezi miwili iliyopita hivyo wao kama wao wakasubiri amalize tiba ndio hiyo juzi wameamua kumrudisha katika makazi yao.
“kabla ya kwenda huku nilikwenda sehemu nyingi na nikaambiwa kuwa mtoto wangu ajafariki moja ya sehemu niliyoenda ni kwa nabii flora kule tegeta kwa jaili ya maombi nako nikaambiwa niombe mungu mtoto wangu akapatikana hivyo mmoja ya watu wakanipa namba ya simu ya huyu mganga name nikampigia na akaniambia kuwa kweli mwanangu namuona yupo sehemu hivyo siku niliyoenda alingia mahali na kushika mwiko kisha akarudi na mtoto tulivyomtazama tukaona ni yeye hivyo sisi tuna mshukuru mungu”alisema Raphael Mtoro

Mama Ashuhudia
Kwa upande wake mama mzazi wa mtoto huyo Helena Raphael aliseama kuwa ana uhakika kuw ahuyo ni mwanawe na ana alama zote ambazo anazitambua kwa mtoto huyo tangu afaraiki mwaka jana hivyo sio jambo la kuzungukazunguka juu ya kupatikana kwa mtoto wake.
“mimi sina mengi ya kueleza huyu ni mwanangu na namtambua kw akila kitu licha ya kuwa mwaka jana kulikuwa na msiba na tukazika hpa hivyo mi sijui nini kilitendeka nashukuru mungu mwanangu karudi hapa hivyo hapa sisi ni sherehe tu na kufuta ule msiba uliotekea hapo awali kw akuwa mungu amejibu maombi yetu”alisema mama wa mtoto huyo.


Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa
Kwa upande wake mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mloganzila, Leila Mabewa aliseam kuwa yeye kama yeye amepta taharifa kutoka kwa wajumbe wake wa nyumba kumina kumuhakikishi akuwa tukio hilo la msiba lilitokea katika nyumba hiyo mwaka jana na mtoto aliyezikwa ni huyo huyo hivyo na leo ameonekana  na kila mtu anamshangaa mtoto huyo jambo ambalo yeye linamtia utata wa kuthibitisha.
“mimikama mwenyekiti wajumb wangu wansema huyo mtoto ndo aliyefariki na sasa mzima hivyo nimeona jambo hili nilipeleke Polisi hili wafanye uchunguzi wa kina ju yamtoto huyu hili kuepusha mambo mengine ambayo sio ya uhakika moja kwa moja kwnai kilichopo hapa ni swala la imani”alisema Mwenyekiti huyo.

Mpaka mwandishi wa gazeti hili anaondoka kituo cha Polisi cha Mbezi kwa Yusufu kulikuw ahakuna taharifa zinginine juu ya tukio hili kutoka eneo hilo zaidi ya watu kuendelea kumiminika nyumbani kwa wazazi wa mto huyo kutka kumshuhudia mtoto.
Mwisho. mama mzazi wa mtoto Helena Raphael Mtaroakiwana mtoto wakielekea kituo cha Polisi
 Jenifer Mwenda ambaye amefufuliwa akiwa na mimba

ACT yapasua ngome ya ccm Songea

NA MWANDISHI WETU
MJI wa Songea jana ulizizima kwa mapokezi makubwa  ya viongozi wa  Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe.
Zitto, ambaye ameambatana na viongozi wengine wa juu wa ACT akiwemo Mwenyekiti wa ACT Taifa, Anna Mghwira pamoja na Katibu Mkuu wake Samson Mwigamba.
Viongosi hao walisili jana mjini hapa  ambapo walilakiwa na mamia ya wananchi wa mji wa Songea wakiongozwa na vijana wa bodaboda zaidi ya 300.
Akihutubia mamia ya wananchi jana mjini Songea katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Malori Majengo, Zitto, alisema lengo la kuanza ziara mkoani Ruvuma ikiwa kuenzi na kutekelza kwa vitendo azimo la Songea.
Alisema na hilo pia mkoa huo una historia ya ukombozi wa vita ya majimaji iliyoanzia wilayani Kilwa na baadaye kuenea hadi Songea.
Mbunge huyo wa zamani ya Kigoma Kaskazini, alisema kutokana na hali hiyo ACT-Wazalendo wameanza ziara hiyo ili kupata baraka za mababu wa ukombozi na si kushindana au kuviponda vyama vingine vya siasa.
Alisema kitendo cha baadhi ya watu kufikiri kuwa ziara yake ina lengo la mashambulizi si sahihi bali sasa ni changamoto kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanapanda viongozi wa upinzani kama njia ya kustawisha demokrasia nchini.
“Ruvuma ni Mkoa ambao hauna mbunge wa upinzani hata mmoja na tumeona tutume salamu kwa umma huku lengo letu likiwa likiwa kuing’oa CCM madarakani na kwamba hatuna nia ya kugambana na vyama vingine.
“Wakazi wa Songea ni wajibu wenu kupima je pamoja na historia ya ukombozi ambayo ACT-Wazalenzo tunaamini ndio misingi ya ukombozi wan chi yetu je kukosa mbunge hata mmoja wa upinzani ni sahihi, hili ni lazima tulikate na tufanye uamuzi huo sasa hasa kuelekea Oktoba mwaka huu,” alisema Zitto.
Akizungumzia Mkoa wa Ruvuma kama mmoja wa mikoa mitano inayotegemewa kwa uzalishaji mkubwa wa chakula, alisema pamoja na wakulima kuhangaika usiku na mchana lakini bado hakuna juhusu za Serikali za kuwakomboa katika lindi la umaskini ili wafurahie kilimo chao.
Alisema kwa muda sasa bei za mazao zimekuwa zikishuka lakini bado Serikali imeshindwa kuwalipa wakulima Sh bilioni 13 za mahindi bila kuwa na utaratibu madhubuti wa kulipa madeni hayo.
“Kwan chi zilizoendelea zimekuwa zikithamini juhudi zinazofanywa na wakulima ikiwemo kuundiwa mfuko wa mazao, ambao unafanya kazi ya kuhakikisha dhamani ya mazao inalindwa.
“Ikitoa bei ya mazao inashuka linakua jukumu la mfuko  kulipa fidia ya hasara kwa wakulima, ambapo hili huenda sambamba na kuwepo kwa mfuko huo ambao.
“Nasi ACT- Wazalendo tungependa kuonyesha sera yetu ya hifadhi ya jamii ambapo kila mkulima awe na bima ya afya. Mpango wetu ni kwamba kama mchango wa hifadhi ya jamii ni Sh 30,000 basi Serikali itamchangia mkulima Sh 10,000,” alisema Zitto
Alisema kutokana na changamoto za wakulima wanataka kuonyesha wana majawabu ambapo mkulima atatibiwa bure akiwa na hifadhi ya jamii na uhakika wa bei kupitia mfumuko wa bei katika hifadhi ya jamii.
“Utafiti wa Shirikala la Kazi Duniani (ILO), wa mwaka 2013 unaonyesha kuwa nchi ambazo zimesambaza hiafdhi ya jamii kwa wananchi wake wote zimeondoka kwenye umaskini kwa kasi na ukiaji wa uchumi unaongezeka mara dufu,” alisema Kiongozi huyo wa ACT-Wazalendo
Mgomo wa madereva
Mbunge huyo wa zamani wa Kigoma Kaskazini, alisema kuwa kilichotokea jana ni mapambano kati ya wenye nguvu na wanyonge kwani madereva hawana mikataba ya kazi zao lakini wamiliki wamekuwa wakiwanyonya madereva huku Serikali iksihindwa kuchukua hatua zozote.
“Hatua za kuimarisha usalama lazima ziendane na usalama wa ajira za Watanzania katika sekta ya usafirishaji hivyo Serikali ichukue hatua za haraka kwa kukutana na viongozi wa madereva na kupata suluhisho la kudumu.
“Waziri Samuel Sitta asitishe kwa muda uamuzi wa Serikali kuhusu mafunzo na Serikali ihakikishe madereva wote wana mikataba ikiwemo michango kwenye hifadhi ya jamii, Serikali itekeleze uamuzi wa mafunzo.
“Kuna haja ya kuhakikisha kuwa udereva wa mabasi ya abiria ni taaluma hivyo kuwepo na mfumo wa ‘accredition’ kupitia umoja wa madereva katika usafirishaji wa umma,” alisema
Zitto alisema ACT-Wazalendo, inasimama upande wa wanyonge hivyo ipo na madereva wote nchini wanaovuja jasho kuzalisha kwa ajili ya matajiri wao na pia tunaitaka Serikali imalize tataizo hili mara moja na wananchi waendelee na shughuli za uzalishaji kama kawaida.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, alisema chama chake hakina ugomvi na chama chochote cha siasa nchini na kipo tayari kushirikiana na chama kinachoamini katika itikadi za kitaifa.
“Ninajua hapa kuna watu wamekuwa wakisema kuwa ACT-Wazalendo haitaki kushirikiana na vyama vingine hili si kweli kubwa tunachosema kama kuna chama kinaamini katika misingi ya ujamaa kije tutashirikiana nao,” alisema Anna.
Kabla yakuwahutubia wananchi mjini hapa viongozi hao wa ACT-Wazalendo, alisema wakazi wa vitongoji vya mji huo Zitto alifungua matawi kadhaa ya chama hicho ambapo alielezea mikakati ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Matawi yaliyofunguliwa jana katika eneo la Mshangano, Bombambili, Msamala kwa Mauki na Lizaboni.
Mbali na kufanya shughuli hizo pia walitembelea makumbusho ya mashujaa mjini hapa pamoja na kufanya vikao na viongozi wa chama na ngazi ya mkoa kama njia ya kujiimarisha.Friday, April 10, 2015

mchaka mchaka mchaka wa Maderva na Polisi ulivyokuwa katika mgomo Ubungo

 bahadi ya wakazi wa jiji wakitumia usafiri wa pikapu katika eneo la mbezi
 Wasafiri wakiwa wamejazana katika kituo cha mabasi cha Kimara Mwisho
 bahadhi ya madereva wakiwa wafukuzamadereva bodaboda walikuwa wamepakia abria
 Sehemu ya mabasi yaliyokuwa yamesitisha safari katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
 kundi la abria na watu likiwa nje yakituo cha mabasi Ubungo
 Polisi wakiwa katika gari yao

 Wakiwasha moto  katikati ya barabara
 abiaria wakirudi nyumbani namizigo yao
 Askari wakimpakia mmoja wa wapiga Debe wa kituo cha Ubungo
 Gari ya maji ya kuwasha ikirusha maji
 Kundi la madereva wakisikiliza viongozi wao
Gari ya Kamanda Kova

Kinondoni Yangara Tuzo za Mayor

 Rais Jakaya kikwete akiingia ukumbini


Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo meya wa kinondoni  Yusufu Mwenda

TASISI YA HUMANITY ACTION FOR CHILDREN FOUNDATION YATOA VIFAA KWA WALEMAVU

 Mwanzilishi wa Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation , Rahma Mohamed Abdalah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa ...