Saturday, June 6, 2015

Bright Monday yatoa somo juu ya kupata ajira kupita njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Chuo kikuu Dar es Salaam(UDSM)

 mkurugezni wa mapato kutoka Bright Monday , Lightness Mwipopo akitoa somo kwa mmoja wa wanafuzni wa chuo kikuu Nuru shao juu ya umuhimu wa kutumia mtandao wa bright Monday.
 Meneja wa kampuni ya Bright Monday Tanzania Karugaba Rugaimukamu akitoa mada kwa wanafuzni wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
bahadhi ya washirikiwa wa mkutano huo

Magwiji wa Masoko wawapa somo wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam(UDSM)

 Mkurugenzi wa Kaymu Tanzania
 Mwakili wa kujitegema , Arbert Msendo
 Mkurugenzi wa Clouds Fm na Prime Time, Ruge Mutahaba akizunguzma na wanafunzi hao
 Kelvini Twisa akizungumza na wanafunzi hao
 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dk. Reginald Mengi akiingia katika ukumbi huo
 Ruge Mutahaba akiteta jambo na Reginald Mengi
 Wajumbe wa meza kuu wakiongozwa na Reginald Mengi na na Nick wa pili
 Mweneyekiti Mtendaji wa makampuni ya Ipp Reginald Mnegi akipokea tuzo yake ya mmoja ya watu wanofanya vizuri katika soko la vyombo vya Habari
 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Akizungumza na wanafunzi w achuo kikuu mbinu za mafanikio bila ya kutegema ajira
 Profesa kitilo mkumbo akionyesha tuzo ya kiongozi mkuu wa ACT ZITO KABWE ambayo amepewa  kama mwanasiasa mwenye mvuto kwa vijana

 Askofu TZ A akipewa tuzo ya Milard Ayo
Imani Kajura akimpa Tuzo Nick wa Pili tuzo ambayo alipokea kwa niaba ya Diamond Platnum

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BOHARI YA KUHIFADHI MAFUTA YA GBP MKOANI TANGA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupokelea mafuta cha Kampuni ya GBP, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Jeti ya kupokelea mafuta na Bohari ya kuhifadhia mafuta ya kampuni hiyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana Juni 5, 2015. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoizana na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya GBP, wakati akielekea kukagua Bohari ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni ya GBP, alipokuwa katika ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika eneo hilo, akiongozana na Mkurugenzi wa ya GBP, Badar Seif Sood (kushoto), Waziri wa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Binilith Mahenge na baadhi ya viongozi, baada ya ukaguzi wa Bohari ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni ya GBP, mkoani Tanga jana. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya GBP, Badar Seif Sood, (wa pili kulia) wakati alipotembelea Bohari ya kuhifadhia mafuta ya kampuni hiyo, kwenye ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika eneo hilo baada ya kukagua kituo hicho cha kupokelea mafuta cha Kampuni ya GBP, mkoani Tanga jana. Picha na OMR

Thursday, June 4, 2015

Lowasa na Makada wenginge wachukua fomu za kugombea urais Dodoma

 Makamu wa Rais Gharib Bilal
 Waziri mkuu wa Zamani Edward Lowasa
 Balozi Karume
 Mgaufuli

SERIKALI YAMALIZA TOFAUTI NA WAFANYABIASHARA NCHINI

 Waziri wa Fedha Sada Mkuya akizungumz ana wajumbe
 Picha ya pamoja

Mwenyekiti wa chama cha wafanya biashara nchini Johson Minja
mkurugenzi mkuu wa TRA

Kamera yangu Jijini la Dar es Salaam leo

 Kondakta  wa Daladala akipata kitafunwa majira ya asubuhi katika kituo cha daldala kilichopo Posta jijini Dar es Salaam
 Mmoja wa Mafundi rangi wanaotumia kamba kupaka rangi akining'inia juu katika jengo la Holly day in Dar es Salaam
 mmoja wa wadada waliokutwa na kamera yetu jijini Dar es Salaam  akiwa amepanda juu ya mkokoteni alioweka mzigo
Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akipata shida kuvuka barabra kwa hofu ya kukanyaga maji taka yanayotiririka katika barabara ya ohio Posta mara baada ya  chemba kuzidiwa na kuanza kutapika

Profesa Ibrahim Lipumba atinga tena kizimbani leo

 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa ameongozana na mwanasheria wake , John Malya mara baada ya kuarishwa kwa shauri lake katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu.Picha na Humphrey Shao

Kesi ya Gwajima yapigwa Kalenda mpka julai

 Askofu Gwajima akitoka katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana mara baad ay kumaliza kusikiliza shauri lake ambapo kesi yake imearishwa mpaka julai mbili.

Gwajima amefikishwa mahakani kwa kashfa ya kumtukana Askofu wa kanisa katoliki Polycap Kadinali Pengo .

Kesi hiyo ambayo inasikilizwa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Riwa itasikilizwa tena julai mbili mara baada ya upande wa Mashtaka kusema kuwa imekamilisha upelelezi wake juu ya kesi hiyo


TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...