Skip to main content

Posts

Showing posts from June 14, 2015

Diwani wa Kibada na mtia nia wa Ubunge,Juma Nkumbi akabidhi vifaa kwa ajili ya ligi ya Jimbo la Kigamboni

Diwani wa Kibada Juma Nkumbi akikabidhi mipira
 Diwani wa Kibada Juma Nkumbi akikabidhi jezi kwa timu ya Kibada Kombaini

Zitto aiteka mpanda

Mbowe bado anasifa za kugombea Ubunge kwa mujibu wa Sheria

Na Happiness Katabazi JUNI  17 Mwaka huu, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai, Denis Mpelembwa alimhukumu  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  kulipa faini ya Sh milioni Moja  au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kumkuta na  hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010 na Mbowe alilipa faini hiyo. Mbowe alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kumfanyia shambulio , mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010, Nassir Yamin katika kituo cha kupigia kura kilichokuwa katika Zahanati ya Lambo. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mpelembwa alisema kitendo kilichofanywa na Mbowe hakikubaliki na kinapaswa kukemewa na kupewa Adhabu. Tangu hukumu hiyo itolewe ,kumezuka mjadala Katika Jamii na vyombo Vya Habari ambapo kundi Moja linadai hukumu hiyo imepotezea imefanya Mbowe kupoteza sifa ya kuwa nia  nafasi ya Ubunge na urais endapo Atakuwa na nia ya Kugombea nafasi hiyo na kundi jingine linadai hukumu hiyo haijamuondolea sifa ya Kugombea nafasi hizo. Binafsi kupitia makal…

Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais na Makongoro arudisha fomu