Saturday, September 19, 2015

MAMIA YWAJITOKEZA KUMSIKILIZA JANET MBENE KATA YA MALANGALI

 Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene
 Aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni ya CCM, Marcelin Ndimbwa akimnadi mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene na Dk John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kata ya Malangali

 Aliyekuwa mjumbe wa Halmashauri kuu Chadema Wilaya ya Ileje James Kayinga akihutubia wakazi wa wilaya ya ileje mara baada ya kurudisha kadi ya chadema.
 Mjumbe wa Halmashauri mkoa wa mbeya Mwashibanda akihutubia wakazi wa malangali
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ileje Ebron Kibona akihutubia mamia ya watu walifurika kumsikiliza Janet Mbene
 kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya malangali kikitoa burudani kwa wanacahma wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene
 Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali
 gombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Malangali Sayinga Kayuni wakati wa mkutano wa hadhara wa kunadi sera za chama cha Mapinduzi
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali

WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMAMkimbizikutoka  Burundi,  PhilipoNyandungulu,  akishukakutokakwenyebasibaadayakuwasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokoKasulumkoaniKigoma.Idadiyawakimbizikutoka BurundiimekuwaikiongezekasikuhadisikunaWizaraya MamboyaNdaniyaNchikwakushirikiananaShirika la UmojawaMataifa la kuhudumiaWakimbizi (UNHRC) imekuwaikiwahifadhikwamudakatikakambihiyo.

Mtoto Olivia Nekwizera, ambayenimkimbizikutoka Burundi akisaidiwana mama yakekunawamikonobaadayakuwasilikatikakambiyawakimiziyaNyarugusuiliyokowilayaniKasulumkoaniKigoma. Kunawamikonokwamajiyenyedawanijambo la lazimakwawakimbiziwapyakuonyeshaumuhimuwakuzingatiamasualayaafyana pia kudhibitimagonjwayakuambukiza.Watotowamojayafamiliayawakimbizikutoka Burundi wakielekezwakuingiakatikamakaziyaomarabaadayakuwasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokokatikawilayayaKasulumkoaniKigoma. AnayeelekezanimfanyakaziwaShirika la MajinaUsafiwaMazingira (TWESA) linalofanyashughulizakekatikakambihiyo.

TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...