Monday, December 7, 2015

Olduvai Gorge “The earliest point of mankind’s history”Olduvai Gorge
“The earliest point of mankind’s history”
https://lh3.googleusercontent.com/eqpgv-Clalsc0LVcUsx2O_-qFbjT6lKdW_ijax3SFoMXOl_A1iggR0q1gnEAaa_u2oekaZ1ooZGKB3cXRoYaBqt7Mp0chT0d4wgMx3X8a8ohwi9jkl9xqmsIZGzEN55g4NUygsih

When you plan a trip to Arusha in the Northern part of Tanzania, you will never regret spending your time exploring many recreational and tourist sites such as the Great Serengeti, Tarangire national park, the Ngorongoro conservation area (where you can find Ngorongoro crater and Olduvai Gorge) with many more tourists attractions.

Arusha is a full of historical sites and game reserves, but the Olduvai Gorge is quite important in the history of mankind, for those who are interested in ancient discovery, Jovago Tanzania intends to give you a little history of the first skull of a man who lived centuries ago.The History
Olduvai Gorge is the evidence of existence of human ancestors in the history. The word Olduvai is of the Maasai origin and translates to mean a sisal plant that grows in the area. The gorge is located in the Great Rift Valley between the Ngorongoro crater and the Serengeti national park.
According to Kim Zimmermann, paleoanthropologists have found hundreds of fossilized bones and stone tools in the area which dates back to millions of years, this has led to the conclusion that humans evolved in Africa. In the 1930s, Leakey’s found stone tools in the Olduvai Gorge, among their notable findings were several extinct vertebras, including the 25-million year old Proconsul Primate, one of the first and few fossil apes skull discovered.
https://lh5.googleusercontent.com/pvz5vV5Ou9gcZ5ArqZH843TWvGKZt9l1TA33dDTN2JNOWgAi8x87_mqm-Y8apKeQmUNYpo7BW9OrCXWz_FhGkC2RavySxSCbCrEMtdoY2WJ0xBS312gjBJVihY0yuUDikysCCOun

In 1959, Mary discovered the fossilized parts of the skull and upper teeth of a type of hominine that had been not previously identified. The Leakey’s also uncovered about 400 pieces of a nearly complete skull similar to remains found in South Africa by Raymond Dart in 1924 and by Robert Broom in 1936. They dated the discoveries as having lived 1.75 million years ago and this made it the oldest hominine discovered to that point which was named Zinjanthropus.
https://lh3.googleusercontent.com/SznTiYAinf81BqhzJBrli4SHrECw1raBp5oB-H98rZ48MYs_3gEotpt8LxicjQuPNrfG71KZEnNonboU0vbCP_laHusN5SAve32FlXbLC9JuWiGNW3OcN1qs5QJNW6VnGbqENCMP
Olduvai Gorge footprint of the early man

Why should you visit Olduvai Gorge?
It is widely considered as the most important prehistoric site in the world, it is also known as cradle of mankind. With geophysical and historical artifacts in the Great Rift Valley, one doesn’t have to be an archeologist or genealogist to be there).

Olduvai Gorge should be on the list when you make a tour in Arusha, Jovago Tanzania still insists on the importance of the history of mankind and this is the best destination to gain the knowledge and enjoying the amazing archeological findings. It is a place where you will be assured of the best hotels and tents from the Jovago website, good transport, and nice atmosphere with the best food from in each restaurant.

WADAU WA UTALII WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA HOTEL ZA KISASA

 Wadau mbalimbali wakifatilia kwa makini Mdahalo wa ukarimu ulioandaliwa na HD partineship
 Dada Rachel Norman wa Kampuni ya Zumari (Brown cheese) akitoa maelezo kwa wadau mbalimbalimbali waliofika katika mdahalo huo
 CEO wa HD Partneship Meelis Kuusler akizungumza na wadau mbalimbali ndani ya Mdahalo huo
 mkurugenzi wa tasisis ya Sekta Bianafis nchini TPSF Godfrey Simbeye akiwa na Juliet Kairuki mkurungenzi wa TIC Wakifatilia jambo kwa umakini
 afisa habari wa HD Partneship Lilian Matari  akizungumza na wandishi wa habari
 Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii Dr Adelheme Meru akizungumzana
Lathifa Sykes mkurugenzi wa Hospitality Association Tanzania akizungumza wakati wa mdahalo huo

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing (kushoto)  wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, walipokuwa wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, akiongozana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Sudan, Mhe. Bakri Hassan Salih, walipokutana na kwenye mkutano wa mwisho wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini, ambapo Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, pia alihutubia. Picha na OMR

KOMBE LA SHIRIKISHO KUENDELEA DISEMBA 15

Michezo ya Kombe la Shirikisho nchini (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa pili unatarajiwa kuendelea kuanzia Disemba 15 mwaka huu, ambapo jumla ya timu 32 zitachuana kusaka nafasi ya kuingia mzunguko wa tatu wa kombe hilo.
Mzunguko wa kwanza uliochezwa mwezi Novemba, jumla ya timu 32 zilichuana kutoka Ligi Daraja la Pili, na timu 16 kusonga mbele hatua ya pili inayozikutanisha timu za Ligi Daraja la Kwanza (StarTimes League) 16 na kufanya idadi ya timu 32 zinazosaka kufuzu kwa hatua ya mzunguko wa tatu.
Timu zilizofuzu kwa mzunguko wa pili kutoka mzunguko wa awali ni Abajalo FC, Mshikamano FC, Green Warriors, Villa Squad (Dar), Mvuvuma FC (Kigoma), Madini FC (Arusha), Sabasaba FC (Morogoro), Alliance, Pamba FC (Mwanza), Mighty Elephant (Songea), Kariakoo FC (Lindi), Wenda (Mbeya), Singida United (Singida).
Timu za Daraja la Kwanza zinaoanza kucheza mzunguko wa pili ni Polisi Tabora, Rhino Rangers, Burkinafaso, Friends Rangers, KMC, African Lyon, Ashanti United, JKT Oljoro, Panone FC, Kiluvya United, Lipuli FC, Kurugenzi, Mbao FC, Geita Gold, JKT Mlale, Njombe Mji, Kimondo, Mji Mkuu na JKT Kanembwa.

JOVAGO YA HAMASISHA UTALII WA NDANI KUPITIA MTANDAO WA KISWAHILI

 Mkurugenzi mkuu na Mwanzilishi wa mtandao wa  Jovago ,Marek Zmyslowski  akizungumza na wadau mbalimbali wa mahoteli ambao walishiriki katika mdahalo wa ukarimu uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
 Meneja mkuu wa Jovago Tanzania ,Andrea Guzzoni akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mdahalo wa Ukarimu ulioshirikisha wadau mabalimbali wa ma Hoteli


Kampuni ya Mtandao wa Kiswahili wa Jovago Tanzania iemetoa wito kwa wadau na wananachi mbalimbali hapa nchini  juu ya utalii wa ndani kwa kutumia mtandao wa Jovago kama sehemu yao ya  kuweka oda ya malazi na bidhaa nyingine katika mahoteli mbalimbali hapa nchini hili kuepukana na gharama zinazotokana na vishoka .

akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Meneja wa Jovago nchini Andrea Guzzoni alisema njia hiyo ni rahisi na salama kwa fedha zao na kuwahakikishia mahli pakufikiabila usumbufu wowote.

Guzzoni alisema kuwa sasa watanzania wanaweza kuweka oda kupita mtandao wa Jovago kwa kiswahili ambao ni rahisi kuliko hapo awali .

alitaja kuwa hote;i zote hapa nchini zimo katika mtandao huo hivyo hakuna sababu ya mtanzania kusumbuka kutafuta mahali pa kulala akiwa mkoa wowote ule.

aidha alisema pia wanaweza kuweka oda ya gharama za kutembela mbuga za wanyama na vivutio mbalimbali vya kitalii.Times pass but the current state of the industry cannot be compared to what it was 10 years ago since there is bigger gap between developed and developing countries.

Dar es Salaam, December 7th, 2015 - The hospitality industry is one of the core sectors which has a major impact on the GDP growth of a country, it always produces positive trading activities and growth of the other sectors. In 2014, the tourism sector worldwide generated more than USD 7.6 trillion which is more than 10% of the total GDP, it also contributed more than 200 million job vacancies.

Despite the rise in the contribution of GDP growth, a gap still exists between the tourism sectors of developed and developing countries.  Andrea Guzzoni , Country Manager of Jovago Tanzania explains.

Europe, America, and Asia-Pacific still dominate the world tourism sector worldwide, while in sub-Saharan countries with the longstanding problems of infrastructures, health and hygiene, education and the government policies are in the lower ranks

According to the 2015 Global Travel and Tourism Competitive Report ranking, South Africa was 48th, Namibia 70th, Kenya 78th and Tanzania 93rd while all the top 10 positions in the overall list originated from Europe, America and Asia.

Structure for growth -Investment Incentives and Government Policies

Mr Guzzoni adds that, knowing the potentiality of the hospitality industry to diminish poverty, most of the countries in the sub-Saharan region have promoted the sustainable policies which play a major role in the industrial development. Tanzania for example, has promoted the private sector since 1999 and still produces a conducive environment for any investor whether foreign or local. Tanzania provides residence and work permit as well as industrial license depending on terms and conditions through which foreign investors can conduct business without affecting the country's economy negatively.

Most of the sub-Saharan countries have focused on providing better policies to the investors, such as business protections and the right to transfer outside the country 100% of foreign exchange earned however, there should be some initiatives to double check the implementation of those policies and  incorporate  better solutions to improve on weak points.

But also, open policies still are essential to promote the tourism sectors, neighboring countries like Kenya, Uganda and Tanzania might encourage the soft policies on work or residence permits and this would have an impact on the investment opportunity and job creation in each country.


 Meneja Mawasiliano wa Mtandao wa Jovago Tanzania , liliani Kisasa akifatilia kwa makini mdahalo huo

TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...