Friday, February 19, 2016

Congcong Wang wa Feza Girls, Mchina wa Kwanza kuongoza mtihani kidato cha Nne Tanzania

 Congcong Wang wa Feza Girls, Aliyekuwa wapili kitaifa

Kuhusu wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri, Dk. Msonde alisema nafasi ya kwanza imeshikwa na msichana Butogwa Shija wa Shule ya Canossa akifuatiwa na Congcong Wang wa Feza Girls, zote za Dar es Salaam.
Wanaofuata ni Innocent Lawrence (Feza Boys); Dominic Aidano (Msolwa); Sang’udi Sang’udi (Ilboru); Asteria Chilambo (Canossa); Belinda Magere (Canossa); Humphrey Kimanya (Msolwa); Bright Mwang’onda (Marian Boys) na Erick Mwang’ingo pia wa Marian Boys.


 Congcong Wang wa Feza Girls, akiwa na mwalimu wake
 Congcong Wang wa Feza Girls, akiwa na mama yake
 Congcong Wang wa Feza Girls, akiwa maabara
 Congcong Wang wa Feza Girls, akiwa maabara ya biology
Congcong Wang wa Feza Girls, akipokea simu za pongezi kutoka kwa watu mbalimbali

No comments:

Post a Comment

HDIF YAKABIDHI MRADI WA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA SHIRATI MARA BAADA YA KUTEKELEZA KWA MIAKA MIWILI

   Kiongozi msaidizi wa HDIF, Joseph Manirakiza akimkabidhi barua ya makabidhiano ya mradi na vifaa mganga mkuu wa hospital ya Shirati, D...