Wednesday, February 3, 2016

Je ni kweli Mnyika Katupiwa jini?


IMEELEZWA Kuwa mbunge wa jimbo la Kibamba , John Mnyika yu katika hali mbaya kutokana na kuugua ugonjwa usio fahamika  kwa haraka hali ya kutoonekana kwa nje kwa muda mrefu.
Mwandishi wa blog hii aliweza kuzinasa habari hizo zikizungmwa na wanachama wa chama hicho nje ya ofsi ya makao makuu ya CHADEMA Wakisema kuwa Mnyika anaumwa sana hivyo awezi ahta kutembea sijui atapona lini.
“inasemekana kapigwa jinni ndio maana ajulikanai yupo Hospitali gani lakini tumuombe mungu amsaidie aaguliwe apone” alisema Kada huyo wa CHADEMA

Aliongezakuwa wamejaribu kudodosa kalazwa wapi hili wampe pole lakini awakujua mpaka sasa yuko wapi.
Alkadhalika mmoja ya wandishi wahabari ambaye yupo karibu na myika alisema kweli amepata taharifa za mnyika kuumwa.

Hata hivyo mwandishi wa gazeti hili alijaribu kuwasiliana na Mbunge huyo lakini akujibu lolote wala simu aikupatikana.

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...