Friday, March 11, 2016

CCM MKOA WA DAR ES YAWASHANGAA UKAWA YATAKA MKURUGENZI JIJI ATUMBULIWE JIPU

 Katibu wa itikadi  na uenezi wa mkoa wa Dar es Salaam , Juma Simba Gadafi akizungumza na waandishi wa habari.

 katibu wa itikadi na uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Juma Gadafi Simba  amemtaka mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam kuacha kuogopa vitisho vya  viongozi wa ukawa ambao wamekuwa wakitumia mabavu kuwatoa wabunge wa ccm kwenye mikutano kwa minajiri sio wana Dar es Salaam.

Gadafi amesema kuwa ameamua kuweka wazi kuwa Ukawa wamekuwa wakifanya fujo lakini mkurugenzi amekuwa akiwalea jambo amabalo ccm limewasikitisha sana kwa kipindii chote.

anaweka wazi kuwa  sasa ccm wanataka kuingia kwenye uchaguzi siku yoyote ile na kamwe aeatakubali kuona watu wao wakitolewa nje ya mkutano huo na viongozi wa ukawa kwani wabunge hao walipiga kura katika mchakato wa majimbo  sasa iweje kwenye jiji wakataliwe.No comments:

Post a Comment

HDIF YAKABIDHI MRADI WA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA SHIRATI MARA BAADA YA KUTEKELEZA KWA MIAKA MIWILI

   Kiongozi msaidizi wa HDIF, Joseph Manirakiza akimkabidhi barua ya makabidhiano ya mradi na vifaa mganga mkuu wa hospital ya Shirati, D...