Tuesday, March 29, 2016

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA KUWAIT MHANDISI YOUSEF AL FOZAN ATUA NCHINI KUSAINI MAKUBALIANO YA USAFIRI WA ANGA NA TCAA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari (Kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo,Kwa ajili ya kusaini
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari (Kushoto)akisisitza jambo kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait

,Mhandisi Yousef Al Fozan ,kwenye ukumbi wa watu mashuhuri (VIP) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es

Salaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto)  akiwa kwenye gari pamoja na wageni wake kushoto ni Mkurugenzi Mkuu

wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan na Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Kuwait Nchini, Mohamed Rashid Alamiri, mara baada ya kuwasili

kwenye uwanja wa Ndege wa Kimat
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari,  (wapili kushoto)  akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga

Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan, wakati alipowasili kwenye  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam kwa ajili ya kusaini makubaliano

ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan , maoja na msafara wake wakiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius

Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo.

No comments:

Post a Comment

M-KOPA YAFUNGA UMEME JUA WENYE THAMANI YA Tshs 4,959,000. KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWINYI MKURANGA PWANI

 Meneja Msaidizi wa M-Kopa nchini , June Muli akikabidhi boksi la Vifaa vya umeme wa jua kma ishara ya makabidhiano ya mradi wa umeme uli...