Monday, March 14, 2016

PICHA ZA ZIARA YA WAZIRI MKUU KAGERA AKIWA NA MWIGULU NCHEMBA


 mkoa wa Kagera na Mh:Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,ziara ya kikazi kwa wilaya zinazozunguma mkoa huu.Kwa upande wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi,mbali na kuelimisha umma hatua ambazo serikali inakwenda kuchukua kwenye makato ya kero kwa wakulima,wavuvi na wafugaji,kuanza kilimo kwa njia za kisasa,kusitisha uvuvi haramu kwenye ziwa letu la Victoria na utaratibu mpya tunaokwenda kuutumia kwa usambazaji wa pembejeo kwa wakati na kwa ufanisi.Pia katika ziara hii ya Waziri Mkuu,tutakagua na kuchukua hatua kwenye mchakato wa usimamizi wa ranchi za Taifa zinazosimamiwa na NARCO kwenye mapori ya karagwe n.k
No comments:

Post a Comment

ROSEMARY LUHAMO KUTOKA DODOMA AKABIDHIWA MAMILIONI YAKE NA UMOJA SPESHO

 Mshindi wa Shindano la Moja Spesho, Rosemary  Luhamo akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa pesa zake kupitia Benki ya CRDB na Kampun...