Wadau wa Sanaa nchini wahamasishwa kudhamini na kufadhili Mashindano ya Urembo



Kaimu Mkuregenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Francis Songoro akiwasilisha hotuba ya Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika mashindano hayo na kumuomba Kaimu huyo kumwakilisha.



Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (katikati) akimvisha skafu Mshindi wa Mashindano ya Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (kushoto) mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano hayo yaliyofanyika 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Ulioko Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (mwenye gauni ya bluu) akimvisha taji Mshindi wa Mashindano ya Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (katikati) mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano hayo yaliyofanyika 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Ulioko Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Miss Dar Indian Ocean aliyemaliza muda wake, Camilla John (kulia) akipiga picha ya pamoja na Mshindi wa Mashindano ya Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano hayo yaliyofanyika 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Ulioko Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili na watatu pamoja washindi wengine katika tano bora mara baada ya kushinda taji hilo 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na warembo wenzie ambaye ni Mshindi wa pili na wa tatu mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Ulioko Mikocheni jijini Dar es Salaam.



Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili na watatu pamoja washindi wengine katika tano bora mara baada ya kushinda taji hilo 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkuregenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Francis Songoro (kulia) akimpongeza Miss Tanzania Indian Ocean 2016 Jackline Kimambo kwa kuibuka mshindi wa mashindano hayo baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika 30 Julai, 2016 katika Ukumbi wa MRC Ulioko Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

Previous Post Next Post