Wednesday, February 24, 2016

MSAFARA WA NAIBU SPIKA DK.TULYA WAPATA AJALI TUKUYU


 
Msafara wa Naibu Spika wa bunge la Tanzania Dk. Ackson Tulia Mwansasu umepata ajali mara baada ya gari moja lililopo katika msafara huo kuumia viabaya .


Dk Tulia ambaye alikuwa kitokea mbeya mjini kwenda kijijini kwao Bulyaga hivyo kupata tatizo hilo katika eneo la Kipoke.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo hilo alisema kuwa ajli hiyo imesababishwa na gari ndogo lakini hakuna mtu aliyefariki.
Dk Tulya awalia alifanya ziara katika shule ya Loleza mahali ambapo alisoma sekondari na kukutana na uongozi wa shule na walimu hiyoPia lipata kulakiwa na viongozi wa CCM mkoa wa mbeya na wanachama na wapenzi mbalimbali wa maendeleo
Aidha litaja kuwa watu ambao awakufunga mkanda kwenye ajali hiyo ndio waliojeruhiwa


 Naibu Spika Ackson Tulia akisalimiana na wanafunzi wa Loleza Sekondari
Dk Tulia akipokewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa songwe

WASANII WA WA KUCHORA WALIA NA OMBENI SEFUEWasanii wa sanaa  ya uchoraji tingatinga wametka Rais Dk John Pombe Magufuli kumsimamisha kazi Katibu mkuu Kiongozi Ombeni Sefue kwa kwa kushindwa kuwalipa fedha za michoro yao ambayo imewekwa katika ukumbi mpya wa mikutano uliopo Ikula jijini Dar es Salaam


 

 akizungumza na mwandishi wa blog hii kiongozi wa kundi hilo Nyakwesi Muyaya  alisema wameshanga akuona mpaka sasa ni miezi 7 imepita awajalipwa pesa yao lakini bongo fleva wanapewa pesa zao hapohapo .


Wasanii wa sanaa ya uchoraji (Tinga tinga)wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa idara ya Habari Maelezo mara baada y kukataliwa kufanya mkutano ndani ya ukumbi huo

TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...