Friday, March 11, 2016

CCM MKOA WA DAR ES YAWASHANGAA UKAWA YATAKA MKURUGENZI JIJI ATUMBULIWE JIPU

 Katibu wa itikadi  na uenezi wa mkoa wa Dar es Salaam , Juma Simba Gadafi akizungumza na waandishi wa habari.

 katibu wa itikadi na uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Juma Gadafi Simba  amemtaka mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam kuacha kuogopa vitisho vya  viongozi wa ukawa ambao wamekuwa wakitumia mabavu kuwatoa wabunge wa ccm kwenye mikutano kwa minajiri sio wana Dar es Salaam.

Gadafi amesema kuwa ameamua kuweka wazi kuwa Ukawa wamekuwa wakifanya fujo lakini mkurugenzi amekuwa akiwalea jambo amabalo ccm limewasikitisha sana kwa kipindii chote.

anaweka wazi kuwa  sasa ccm wanataka kuingia kwenye uchaguzi siku yoyote ile na kamwe aeatakubali kuona watu wao wakitolewa nje ya mkutano huo na viongozi wa ukawa kwani wabunge hao walipiga kura katika mchakato wa majimbo  sasa iweje kwenye jiji wakataliwe.Kayala azidi kujitanua kwa mashabiki wakeMWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, George Kayala amezidi kujitanua kwa mashabiki wake baada ya kuanzisha ‘group’ maalumu la whatsapp linaowahusisha wale wote walioguswa na albamu yake mpya ya Maajabu ya Damu ya Yesu.
Akizungumza na jijiletu  jana, Kayala alisema kwamba watu wengi wameguswa na nyimbo zilizomo ndani ya albamu hiyo na ili kuhakikisha anajenga mahusiano mazuri nao ndipo akaanzisha group hilo alililolipa jina la Maombi ni Silaha.
“Nimelazimika kutoa nyimbo zangu bure kwa mashabiki wangu ndani na nje ya nchi kwa njia ya whatsapp na wengi wameguswa na vibao hivyo, na ili nisiwapoteze ndipo nikaamua kuunda group hili ambalo pia linatumika kwa kuombea mahitaji mbalimbali ya wadau hao,” alisema Kayala.
Kayala alisema kwamba mashabiki wake wengi amewapata kwa njia ya facebook ambako amekuwa akiwajulisha nini kinachoendelea juu ya huduma yake hii ya uimbaji.

Monday, March 7, 2016

PICHA TOFAUTI ZA HAFLAYA KUAPISHWA KATIBU MKUU KIONGOZI ENG KIJAZI

Ombeni sefue akiteta na katibu mkuu kijazi

 Eng Kijazi akila kiapu cha ukatibu mkuu

 Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
 Rais Magufuli akiwa na Katibu mkuu Kijazi
 Rais na makamu wake wakiteta na waziri mkuu


TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...